huyu ndio raper aliye kinukisha kwenye ngoma ya chezesha tarehe kama ulikua ujui
mchizi anatokea pande za ubungo anafahamika kwa jina la athanas ama unaweza kumuita nas junior kisanii zaidi amesha fanya ngoma kibao ikiwemo true love aliyomshirikisha jux. kwasasa anatamba na track ya chezesha tarehee iliyo wakilishwa vyema na mad p,g nako na yeye akiwepo. kwa kifupi mchizi yupo tait na anaelewa nini anacho fanya kwenye game ya muziki wa bongo
.
No comments:
Post a Comment