The fusion night Kutoka tamaduni muziki wanajulikana kama illmatix pacha one & songa wakiwa pamoja na kad go, dizasta na balle watafanya live show yakufa mtu ndani ya viwanja vya nyumbani lounge siku ya tarehe 30/11/2013 kwa wadau wa hip hop na hasa wapenzi wa tamaduni muzik hii sio yakukosa
|
No comments:
Post a Comment