Tuesday, October 22, 2013

KANYE WEST AMVISHA PETE YA UCHUMBA KIM KARDASHIAN

kanye west amemchumbia kim kardashian kwenye sherehe binafsi iliyo fanyika huku san fransisco calfornia kwenye uwanja wa AT&T park.  rapper huyo anadaiwa kumvisha kim pete ya almasi iliyo tengenezwa na LORRAINE SCHWARTZ.  WEST alialika bendi ya watu hamsini kupiga live nyimbo kama ya LANA DEL REY  "young&beautiful" na wa KERI HILSON "knock you down.

Monday, October 21, 2013

TAMADUNIMUZIK MERCHANDISE FESTIVAL

FID Q KUZINDUA KITABU CHAKE (SWAHILI KID) MWEZI AUGUST INGIA HAPA KUSIKILIZA ALICHOSEMA

Fareed kubanda anategemea kuachia kitabu ambacho amekipa jina la Swahili Kid (mtoto wa kiswahili) ikifika mwezi wa nane ambapo atakuwa akielezea na kushare experience yake kwenye game nzima ya muziki, tangu alipoanza mpka hivi sasa alipofikia. 

 Akifafanua zaidi kuhusu mahudhui ya kitabu chake, fid q alisema swahili kid kitajumuisha ufafanuzi wa mashairi ya nyimbo kwenye album zake tatu,  vina mwanzo kati na mwisho, propaganda na kitaaolojia.

 

msikilize zaidi hapa


MAHOMBI PAMOJA NA IYANYA WATANGAZWA KUWA MIONGONI MWA WASANII WATAKAO DONDOKA KWENYE SERENGETIFIESTA 2013

Baada ya Power Breakfast kumtangaza Mohombi kudondoka Fiesta Iyanya kutoka NIgeria ndio alietangazwa leo hii kupitia xxl ya Clouds Fm kuwa msanii wa nne kudondoka Fiestani 2013...Twendzetuuu