Tuesday, October 22, 2013

KANYE WEST AMVISHA PETE YA UCHUMBA KIM KARDASHIAN

kanye west amemchumbia kim kardashian kwenye sherehe binafsi iliyo fanyika huku san fransisco calfornia kwenye uwanja wa AT&T park.  rapper huyo anadaiwa kumvisha kim pete ya almasi iliyo tengenezwa na LORRAINE SCHWARTZ.  WEST alialika bendi ya watu hamsini kupiga live nyimbo kama ya LANA DEL REY  "young&beautiful" na wa KERI HILSON "knock you down.

No comments:

Post a Comment