Fareed kubanda anategemea kuachia kitabu ambacho amekipa jina la Swahili
Kid (mtoto wa kiswahili) ikifika mwezi wa nane ambapo atakuwa akielezea
na kushare experience yake kwenye game nzima ya muziki, tangu alipoanza
mpka hivi sasa alipofikia.
Akifafanua zaidi kuhusu mahudhui ya kitabu chake, fid q alisema swahili kid kitajumuisha ufafanuzi wa mashairi ya nyimbo kwenye album zake tatu, vina mwanzo kati na mwisho, propaganda na kitaaolojia.
msikilize zaidi hapa
|
No comments:
Post a Comment