MAHOMBI PAMOJA NA IYANYA WATANGAZWA KUWA MIONGONI MWA WASANII WATAKAO DONDOKA KWENYE SERENGETIFIESTA 2013
Baada
ya Power Breakfast kumtangaza Mohombi kudondoka Fiesta Iyanya kutoka
NIgeria ndio alietangazwa leo hii kupitia xxl ya Clouds Fm kuwa msanii
wa nne kudondoka Fiestani 2013...Twendzetuuu
No comments:
Post a Comment