rap stars
Baada ya ile subira ya muda mrefu, hatimaye rapper mkongwe Busta
Rhymes ambaye kwa sasa anawakilisha Cash Money ameachia ngoma yake mpya
‘Thank You’ ambayo itapatikana kwenye album yake ya Extinction Level
Event 2.
Busta amewashirikisha Lil Wayne, Kanye West na Q-Tip kuhakikisha kinatoka kitu kizito.
Isikilize hapa, ni explicit version.
No comments:
Post a Comment