Uongozi wa B’Hitz Music Group umeamua kuzungumza kwa kina
kuhusu sakata la kuwaondoa wasanii watatu walioukuwa chini ya studio
hiyo ambao ni Mabeste, Vanessa, na Gosby.
Uongozi huo utasikika exclusively kupitia kipindi cha Bongo Dot Home cha 100.5 Times fm leo (November 23) kuanzia saa kumi kamili jioni.
Akiongea na tovuti ya Times fm, mtangazaji wa kipindi hicho Jabir Saleh aka Kuvichaka amesema pamoja na mambo mengine, uongozi huo utazungumzia kuhusu malalamiko ya Mabeste kuwa amedhalilishwa na C.E.O wa B’Hits Hermy B.
Amesema kuwa uongozi huo pia utatoa ufafanuzi wa kina kuhusu wasanii wote waliowahi kufanya kazi chini ya label hiyo na kuondoka ili kutoa picha halisi ya mambo yalivyokuwa.
Bongo Dot Home inakuwa hewani kila jumamosi saa kumi kamili jioni hadi saa moja usiku, na kuendeshwa na Jabir Saleh, Moko Biashara (One B), na Dj K_U
Unaweza kusikiliza live online, bofya hapa http://bit.ly/HHnfKt

No comments:
Post a Comment