Tuesday, October 8, 2013

Kilinge(cypher) na wanatamadun muzik vitendo dhidi ya maneno-hip hop revolution


WASALAAM WAPENZI WA HIPHOP ...
NAOMBA MSUPPORT HII MOVEMENT HAWA VIJANA WANATOA DARASA KILA JUMAMOSI KWA NJIA YA FREE STYLE /MITINDO HURU .. NI VIJANA WATAMADUN MUZIK WAKINA ONE THE INCREDIBLE, STEREO, SONGA, NASH EMCEE, NIKKI MBISHI .. NA VIJANA WENGINE WAKIWA NA PRODUCER NGULI DUKE WA M-LAB..
HAWA VIJANA WANA PUNCH /MISTARI HATARI NI ELIMU TOSHA SANA .. KWELI HIP HOP NI DARASA NAIPENDA SANA PIA HUWA WANAUZA ALBUM ZAO PALE ...
WAPENDA HIP HOP NA MUZIK KWA UJUMLA MNAWEZA KUTEMBELEA KILA JUMAMOSI MSASANI BEACH CLUB KUANZIA SAA 8 MCHANA KARIBIA NA ZANTEL , NJIA YA KWENDA MSASANI - PALE UBALOZI WA MAREKANI...KAULI MBIU YAO NI VITENDO DHIDI YA MANENO.

No comments:

Post a Comment