Friday, October 4, 2013

THIS IS BEN-POL THE KING OF R&B BONGO

  1. sidhani na wala kufikiri kama kuna masnii wa r&b kibongo bongo anaye kubalika kama ben pol ninapo sema kukubalika nakuwa na mtofautisha na wasanii wengi wa bongo wanao vuma sisemi tu kwakuwa namkubali binafsi bali kutokana na maoni ya watu wengi na wana mzungumzia vp ben-pol kama ben-pol kazi zake na hata maisha yake kwa ujumla jamaa yupo vizuri sana napia anaelewa anacho kifanya kwenye game hii ya muziki wabongo namkubali na naamini wengi wanakubali na ku support anachokifanya he is the best of the best believe me.

No comments:

Post a Comment