rap stars
Sikiliza Track Mpya Kutoka kwa Trubadour - Nasomesha Bure, Ndani ya
Track hii utapata kusikia mistari ambayo inawadiss na kuwalenga baadhi
ya wasanii wakali wanaotamba katika chati za bongo, Baadhi ya wasanii
waliotajwa katika track hii ni Dogo Janja, Jux, Young Killer, Young D,
Stamina na wengineo… Sikiliza Track hii hapa kujua ni wakina nani
wengine waliopewa madongo katika track hii …
No comments:
Post a Comment