kala alisema kwangu mimi ni furaha kwasababu kama kazi zangu zimetambulika kiasi hicho na kukubalika kuwa balozi wa kampuni kubwa kama hiyo nadhani ni kuonyesha jinsi gani jamii inakueshimu na kuthamini unachokifanya
Ni hatua kubwa na jinsi gani sasa muziki wetu wa hip hop unaeleweka vizuri. kama hip hop inaweza kushawishi kampuni kama hiyo kuwekeza nadhani inaeleweka
pia alisema wasanii wa hip hop waendelee kufanya muziki wao kwa akili ili kuwashawishi wengi zaidi
No comments:
Post a Comment