Thursday, October 17, 2013

KWA MARA YA KWANZA ALBUM YA P THE MC MWINGI WA HABARI ITAPATIKANA MSASANI CLUB JUMAMOSI YA TAREHE 19 YAANI KESHO KUTWA!! BEI NI SHILINGI ELFU TANO (5)



MWINGI WA HABARI
ALBUM YANGU IKO TAYARI NA ITAPATIKANA MSASANI CLUB KWA MARA YA KWANZA KISHA TUTAENDELEA NA WOOOTE AMBAO HAMTAWEZA KUFIKA PALE MSASANI CLUB JUMAMOSI YA TAREHE 19 YAANI KESHO KUTWA!! BEI NI SHILINGI ELFU TANO (5)
mawasiliano:
simu: 0717 25 44 51
twitter: @pthemcyessaya

No comments:

Post a Comment